N nnn Member Joined Jun 6, 2011 Posts 41 Reaction score 3 Sep 27, 2012 #1 Ndugu wana JF naomba mnijulishe maswali yanayoulizwa na TUME YA AJIRA kwa wale waliowahi fanya nao interview ya utendaji wa kata.Nawasilisha
Ndugu wana JF naomba mnijulishe maswali yanayoulizwa na TUME YA AJIRA kwa wale waliowahi fanya nao interview ya utendaji wa kata.Nawasilisha
M mwinukai JF-Expert Member Joined May 3, 2011 Posts 1,447 Reaction score 630 Sep 27, 2012 #2 hapa kazi kweli kweli labda kazi ujue kazi za katibu kata, uongozi na mambo ya katiba as they seem to be current issue
hapa kazi kweli kweli labda kazi ujue kazi za katibu kata, uongozi na mambo ya katiba as they seem to be current issue
SYENDEKE Senior Member Joined Jul 18, 2011 Posts 169 Reaction score 26 Sep 28, 2012 #3 nenda kwenye website ya chuo cha serikali za mitaa kuna mwongozo mzima wa hao watumishi i know u got it
nenda kwenye website ya chuo cha serikali za mitaa kuna mwongozo mzima wa hao watumishi i know u got it