gashambala uwezo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 485
- 67
Sometime kupitiliza kupo,hebu nenda duka la dawa lilo karibu nunua UPT ucheck then rudi hapa tuendelee na mada hii
Sometime kupitiliza kupo,hebu nenda duka la dawa lilo karibu nunua UPT ucheck then rudi hapa tuendelee na mada hii
Hapana,ni kama strip/vijiti vinavyotumika kupima kama una mimba au lah! Unapata majibu hapo hapo isipokuwa kama mimba itakuwa chini ya wk 2Asante kwa ushauri wako, ni vidonge hv?
sasa ndugu yangu nimezungukaje?, nimesema ninasoma na ninafamilia na hatuko tayari kuputa mtoto sasa, na hedhi ndiyo nimegoma................ni saaidie tafadhari.hahaaa kuchepuka madhara yake ni meengi.....
mm ungesema ukweli as long bado changa ndogo sana ningekupa simple soln, bt kwa vile unazunguka ukwel unazugs komaa nayo kinuke ndoani.
Usijaribu kutoa mimba nimekuonya.
Shughulikia matatizo mengine kama ni ya kiafya utibiwe. Lakini kama in ujauzito, leo mwanao utafurahi lakini ukidanganyika kutoa mimba,utanikumbuka siku zote za maisha yako!.
sasa ndugu yangu nimezungukaje?, nimesema ninasoma na ninafamilia na hatuko tayari kuputa mtoto sasa, na hedhi ndiyo nimegoma................ni saaidie tafadhari.
Kuna shida gani? Nchi yetu watu wanazaana mno khaa! Kutoa zygote (km haikupangwa) sidhani km ni shida