Msaada: Nimekosa hedhi yangu

Msaada: Nimekosa hedhi yangu

BINAFSI NINA MASHAKA NA KITANZI mpenzi wangu mwez wa pili huu hajapataa hedhi kabla ya hapo hakuwah kuwa hvyo.

Mwambie akakitoe mara moja maana madhara yake ni makubwa isivyo kawaida japo wataweza mkatalia maana kitanzi maana yake kinyongeo cha watoto! Mpenzi wako ameweka nyoka anayekuwa anakula watoto wako tumboni mwake! Kuweka ni mara moja na wao jamaa wanapata mshiko wao lakini kukitoa watamzungusha labda iwe bahati yake. Kwanza wanavitambulisho wanapewa na vimeandikwa hivi- Ikitokea amepata ajali hicho kitanzi kisitolewe na mtu yeyote yule sasa jiulize sababu ni nini? Hicho ni kufuru kubwa mbele ya Mungu na ni mpango wa shetani. Mkeo huo kwa sasa anasimama kama wakala wa kifo (wa Kuua).

Madhara yake yako mengi na nitaorodhesha machache:- Hivyo vitanzi(vinyongeo)
a) Hushambulia ubongo
b) Wanawake wengine hunyonyoka nywele
c) huatibikiwa uwezo wa kuona - macho yao
d) Kuganda mishipa ya damu kwenye ubongo na matatizo ya kiharusi hutokea
e) Baadhi ya kinamama huota ndevu
f) Kuumwa kichwa sana na kipanda uso cha mara kwa mara
g) Huingilia mwenendo wa uzazi na hukausha maziwa. Hii usababisha vivimbe na kansa kwenye matiti
h) Madhara ya mapigo ya moyo kwenda mbio na pia mapafu kuwa na matatizo
i) Madhara kwenye tumbo la uzazi na hedhi kutoka kawaida ya siku nne hadi miezi miwili au mitatu
j) Wengine hukaukiwa kabisa na hedhi na kuwa tasa maisha yao yote
k) Wengine hedhi huwa na mabadiliko ya muda mfupi mfupi usio wa kawaida na mara nyingine hata mara nne au tano kwa mwezi
l) Vitanzi hivi huchochea umalaya kwa sababu mwanamke huonekana chombo cha starehe
m) Miguu kuvimba na hutafuna mifupa kuwa miembamba
n) Kupata kizunguzungu na kichefuchefu mara kwa mara
o) Depression - husababisha huzuni na hasira
p) Mwanamke hukosa hamu ya tendo la ndoa

Njia sahihi ni ya asili nayo ni ya UTE - billing ovulation method pekeee na ina uhakika wa asilimia 99.9 kuliko hata ya kalenda.

Watafute wataalamu watawaelekeza njia ya asili na sio hiyo ya marathi.
 
Back
Top Bottom