Msaada: Nimekosea muamala kutuma kutoka Bank, ukaja kwenye simu kama Muda wa maongezi

Haifai kumkatisha mtu tamaa, ila busara sana kumwambia ukweli mtu mapema. Jipange tu namna ya kuishi nazo, hakuna namna zitageuka kurudi tena kuwa hela.

Huo upuuzi niliwahi kuufanya, tena ilikuwa ni hela nyingi zaidi ya hizo na niliishia kutumia na kugawa tu muda wa maongezi hadi ukaisha.

Ova
 
Staki upuuzi wa simbanking, staki upuuzi wa mpesa app staki. Mpaka wabadirike. Hujanunua wewe. Wamekununulisha. Trust me.
Mnawasingizia, huwa unanunua mwenyewe kwa papara za kutaka kumaliza zoezi haraka bila kuzingati maswali.

Ova
 
Kenya Safaricom huwa wanabadilisha muda wa Maongezi kuwa pesa. Tanzania kwa sababu ni ncni ya kuchuma tu pesa kwa wawekezaji hilo haliwezekanin na halipo.

Kenya walipiga sana kelele na ndio maana pia bando kwao huwa hai Expire kama huku.
 
Asante kwa kutumia mtandao wa Voda
Salio lako la maongezi ni Shilling 96,000

 
Hapa ndiyo wataalamu wa hesabu za mtandao wanafeli. Kimahesabu, issue kama hii ilitakiwa iwe na namna yake ya kurekebisha
 
Masihara bos, kama ni kweli hutakiwi kuungiza hiyo luku unaenda tanesco wanauingiza wenyewe wanaufuta hela inarudishwa, ila siyo zoezi la siku moja
Nilishaingiza na natumikia adhabu m mwaka huu December ndo compensation yangu inatamatika
 
Kwakweli pole tu, mie hadi nilihisi kuumwa🙆🙆
 
Piga deal na muuza vocha wa karibu vocha siku hizi buku na 10 mtu akitaka unamrushia kwa buku muuza vocha unamtoa 5k imeisha iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…