Msaada nimekunywa alovera naumwa tumbo

Msaada nimekunywa alovera naumwa tumbo

Kwani umekunywa ili ujitibu ugonjwa gani? Uwe wazi ili tukusaidie njia nzuri za kutumia mmea huo.
 
Muwasho mwilini
Hiyo ni hali ya kawaida sana ktk matumizi ya Aloe vera na kama tumbo linakuuma basi fahamu kuwa hata ktk tumbo ulikuwa na matatizo fulani,ukiona umeharisha basi tambua kuwa imefanya kazi fulani ktk mwili wako we endelea kunywa japo ufikishe siku 3 naamini utajisikia vizuri zaidi.
 
mkiwa mnataka kutoa mimba hata kulamba kinyesi cha mtu hamuoni shida shenz kabisa
 
Hiyo ni hali ya kawaida sana ktk matumizi ya Aloe vera na kama tumbo linakuuma basi fahamu kuwa hata ktk tumbo ulikuwa na matatizo fulani,ukiona umeharisha basi tambua kuwa imefanya kazi fulani ktk mwili wako we endelea kunywa japo ufikishe siku 3 naamini utajisikia vizuri zaidi.
Asante my
 
Back
Top Bottom