Msaada: Nimekuta video na picha zangu kwenye mitandao ya ngono

Nikua na research binafsi kuhusu hizo video ndo nikazitafuta zote hadu kwenye deep web

It's hilarious how people can do things yaani..if I may ask..What was that research for? I am curious!!
 
NDYO SHIDA YA KWENDA GUEST HOUSE BUBU... WASHTAKI MKUU NA WATAKULIPA MABILION YATAKAYOFILISI MALI ZAO NA ZA NDUGU ZAO
 
Mkuu kwa Nini usitafute geto lako Kali uwe unafanyia mambo yako humo
 
Kwani hiyo video haionyeshi mchukua picha alikuwa anarekodi kutokea angle gani?.Ndo utatambua ni nani aliyerokodi hiyo muvi ya vita vya tatu vya dunia huenda akawa mwenzi wako mliyekuwa nae.
Mwisho unapochukua chumba kwenye hizi hoteli kama ni usiku kumbuka kuzima taa zote kuwe giza kisha chukua smartphone yako weka pale kwenye kamera uwe kama unataka kupiga picha zungusha chumba kizima hasa kwenye upande wa cellingboard endapo utaona kidot chekundu kupitia kwenye simu yako hama hicho chumba kitakuwa kina hidden camera.
 
It's hilarious how people can do things yaani..if I may ask..What was that research for? I am curious!!
Nilikua naangalia hawa watu kama wako vizuri kiakili (by observation) na kuangalia nani ana infruence kitendo cha kurekodi? Ni wote au ni mmoja?
Kama ni mmoja inakuaje na yule wa pili ha react kukataa kitendo cha kurekodiwa..

Nilijitahidi kuwatafuta kwenye maisha ya kawaida wana hali gani baada ya video zao ku leak lakini niliwakosa kwa sababu za kiuchumi..

Pia kwa research yangu hii nimegundua ni couple nyingi sana zinajirekodi lakini bado video zao hazija leak..
 
Aiseee umenipa bonge la idea wakati nikijiandaa kwenda kwenye mechi ya mchangani
 
unalia nini wakat nikweli sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…