Msaada: Nimekuta video na picha zangu kwenye mitandao ya ngono

Msaada: Nimekuta video na picha zangu kwenye mitandao ya ngono

Habari wakuu,

Mimi na mchumba wangu tumekuwa na mahusiano toka first year mpk leo mwaka wa tatu huu. Kwa kuwa tunaishi hostel, tumekuwa tukifanyia mapenzi yetu gesti fulani hivi kwa muda wote huu.

Sasa cha kushangaza, jana rafki zangu wakaniambia wanaona video zangu kibao kwenye sites za ngono nikimgegeda mpenzi wangu. Sikuamini, nilivyo-google na kujiona yaani nililia sana.

Hapa class zima wanajua. Nadhani itafahamika chuo chote. Sasa sijui ile guest kuna kamera au yaani ni aibuuuuuu.

Nifanyaje???
Hebu leta link tukahakikishe dogo!
 
Safi sana utakuwa maarufu jisajili na kampuni zinazochezesha pornography ili ulipwe fedha fursa hiyo changamkia dili.
 
Kwahyo umeshakuwa porn star mkuu?

Hiyo industry ina pesa kinyama mkuu unaweza pata zali la kuitwa mbele kupga show
 
Video zote za ngono za watanzania nazijua na ninazo....hakuna mwanafunzi wa 1st year mule...acha uongo..
Na hakuna video yoyote ya kibongo iliyorekodiwa bila ridhaa ya aliyeonekana...
Zote wanajirekodi wenyewe..
Acha uongo mkuu
Zote????we mkali
 
Habari wakuu,

Mimi na mchumba wangu tumekuwa na mahusiano toka first year mpk leo mwaka wa tatu huu. Kwa kuwa tunaishi hostel, tumekuwa tukifanyia mapenzi yetu gesti fulani hivi kwa muda wote huu.

Sasa cha kushangaza, jana rafki zangu wakaniambia wanaona video zangu kibao kwenye sites za ngono nikimgegeda mpenzi wangu. Sikuamini, nilivyo-google na kujiona yaani nililia sana.

Hapa class zima wanajua. Nadhani itafahamika chuo chote. Sasa sijui ile guest kuna kamera au yaani ni aibuuuuuu.

Nifanyaje???
Duh.! Kumbe ni wewe..!
Nimeziona hizo video kwenye simu ya dogo langu mwanachuo mwenzako akasema hizo video amezikuta kwa group la whatsapp. Ila hako kademu kamiss kamenona kanaonekana katamu!
Ushauri wangu ni bora ujiue tu ila.
 
Kwani hiyo video haionyeshi mchukua picha alikuwa anarekodi kutokea angle gani?.Ndo utatambua ni nani aliyerokodi hiyo muvi ya vita vya tatu vya dunia huenda akawa mwenzi wako mliyekuwa nae.
Mwisho unapochukua chumba kwenye hizi hoteli kama ni usiku kumbuka kuzima taa zote kuwe giza kisha chukua smartphone yako weka pale kwenye kamera uwe kama unataka kupiga picha zungusha chumba kizima hasa kwenye upande wa cellingboard endapo utaona kidot chekundu kupitia kwenye simu yako hama hicho chumba kitakuwa kina hidden camera.
haya
 
Duh.! Kumbe ni wewe..!
Nimeziona hizo video kwenye simu ya dogo langu mwanachuo mwenzako akasema hizo video amezikuta kwa group la whatsapp. Ila hako kademu kamiss kamenona kanaonekana katamu!
Ushauri wangu ni bora ujiue tu ila.
Duh.. Ndo uahauri gani huo mkuu, ajiue??
 
Dah kama masakuu pale Dari mbovu MTU hata akiweka camera hushtuki maana taaa haizimwi
 
Mmmmhuu!! kwahiyo unaonekana makalio yaki meremeta [emoji23][emoji23] duh!!
 
Back
Top Bottom