Msaada: Nimekuwa addicted na tadalafi (Viagra) kwa muda mrefu

Kwa umri huo bado unakamia papuchi kweli, umri huo ni umri wa kutafuta hela sio kusimamia kucha
 
Anza kupiga punyeto, nguvu zitarudi
Vilaza watabisha
 
Ukiona gia namba Moja haikamati hiyo gari ifanyie service!How kaa hata miezi 3 achana na ngono,kula vizuri vyakula vya protein sana na nyeto usipige kbs utakuja nishukuru!
 
Kwa umri huo bado unakamia papuchi kweli, umri huo ni umri wa kutafuta hela sio kusimamia kucha
Miaka 39 mbona bado mdogo, hapo ndio mwanaume, mtu ana miaka 70 anapiga goli tatu fresh tu. Mtu mwenye miaka chini ya 35 ni "bwana mdogo" bado hajawa "mwanaume". Lazima utakuta ana ufala fala. Mpeni jamaa mbinu apone
 
Una kilo ngapi kwanza mkuu? Pili piga chini misosi yenye acid sana na mafuta kibao, usifuge stress.
Nenda kinyume na formula au maisha ya mazoea, umri huo kula milo miwili tu, asubuhi isivuke saa nne na jioni kabla ya saa moja au mbili inatosha.

Kunywa maji klingana na kilo zako, au ukiskia kiu, haya mambo ya glass nane, au zaidi achana nayo, unaosha madini ya mwili mkuu.

Kula mboga za kijani kibichi,zilizopikwa zikaiva na ...usisikilizi wale wa zisiive sana; utakula bacteria na kuchosha mfumo wa usagaji. Usile vitu vibichi mara kwa mara kama kachumbari, salad.

Andaa juisi ya tikiti kamulia na limao. Halafu usitake matokeo haraka unavuruga saikolojia. Jipe mwezi kuanza kuona matokeo, wakati huo gonga mara mbili kwa wiki tu.

Viagra na hizo kitu hazijengi addiction kwa mujibu wa tafiti, labda saikolojia imekutufanya hivyo, ila side effects zipo ila sio za kufanya unachoambiwa na wadau kuwa utakuwa unaitegemea. jipe muda soma mechanism ya hizo dawa zinavyofanya kazi utaelewa
 
mtu ana miaka 70 anapiga goli tatu fresh tu.
Sio kweli huu ni uongo miaka hio akipiga 3 tunazika mchana kweupe kwanza unaijua shughuli ya goli 3 vizuri au unasema tu?

Mtu mwenye miaka 70 hana hio nishati ya kuzalisha umeme wa ku-supply kweenye transformers 3 mfululizo lazima akate moto
 
impotence (Erectile Dysfunction, or ED), psychological factors are indeed a primary cause, especially for men under 40. The mind and body are deeply connected, and performance anxiety, stress, depression, or relationship conflicts can trigger or worsen the condition

  • Psychological factors are a primary cause of impotence (Erectile Dysfunction) in men under 40. While physical issues often affect older adults, men under 50 typically experience "psychogenic" ED—where mental and emotional barriers interfere with physical arousal.
  • If ERECTLE DYSFUNCTION is entirely rooted in severe performance anxiety, depression, or relationship issues, medication alone may not fix the underlying problem without psychological support or therapy
  • Sildenafil (rercto, viagra,)does not treat a loss of libido (sex drive), nor does it directly cure conditions like premature ejaculation, though it may reduce the refractory time between orgasms
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…