Ngemaita
Member
- Nov 4, 2016
- 84
- 33
Hapo mkuu naweza nikaafikiana na wewe ila na mimi hilo tatizo linanisumbua san yaan sekunde mbili nishasahau mkuu msaada unahitajika hapa.Jaribu kua unardia ridia kila mara pia jitahid kula samaki, maboga na matikiti maji
duh mbona wengine tumepiga sana punyeto na paper tumetusua div 1 kali na chuo tumetoboa gpa za maana.
hapana acheni kusingizia punyeto huyo atakuwa na matatzo ya ubungo wake.