Msaada: Nimekuwa nikifikiria kuanzisha Project ya utengenezaji wa Bahasha za kaki (Vifungashio)

Kinyarugina

Member
Joined
May 12, 2022
Posts
46
Reaction score
68
Habari ya wanajukwaa wenzangu, Mimi ni kijana wa kiume nipo mkoa wa Mbeya,nimekuwa nataman kuwa mtengenezaji bahasha hizi za kaki zinazotumika kama vifungashio.
Nimefuatilia kwenye mitandaoni kuona wapi naweza pata ujuzi na tarifa rasimi juu ya huu mradi lakini nimekosa.

Naomba kwa amabae anajua au anaweza nipatia tarifa sahihi juu ya huu mradi wa utengenezaji wa Bahasha(vifungashio).
 
Attachments

  • FB_IMG_1744466565081.jpg
    FB_IMG_1744466565081.jpg
    32.7 KB · Views: 60
  • FB_IMG_1744466571513.jpg
    FB_IMG_1744466571513.jpg
    20 KB · Views: 52
Habari ya wanajukwaa wenzangu, Mimi ni kijana wa kiume nipo mkoa wa Mbeya,nimekuwa nataman kuwa mtengenezaji bahasha hizi za kaki zinazotumika kama vifungashio.
Nimefuatilia kwenye mitandaoni kuona wapi naweza pata ujuzi na tarifa rasimi juu ya huu mradi lakini nimekosa.

Naomba kwa amabae anajua au anaweza nipatia tarifa sahihi juu ya huu mradi wa utengenezaji wa Bahasha(vifungashio).
Nenda SIDO
 
Hilo halihitaji kufundishwA, chukua hiyo bahasha ifumue, yaani ikunjuwe kwa umakini. Utaona namna ilivyokatwa na kukunjwa. Chukua gazeti na ulikate kulingana namna ilivyo hiyo bahasha. Gundi unaweza kutumia ngano au tafuta rasmi madukani au stastionaries
 
Unataka kutumia mashine mtaji wako mkubwa au unafanya kwa mkono mtaji mdogo?

Materials
Karatasi:
unaweza kununua kiwandani Tanpack LTD, Mwenge Dar es salaam.
Bundle nafikiri lina karatasi 500 ambayo moja inatoa mifuko kadhaa kutegemeana na mfuko wa kilo moja au nusu.
Gundi:
Tumia ya mbao ya bei juu au uji wa unga wa muogo.
Masoko ya Dar mengi unapata huo unga hata hapo Mwenge sokoni.

Jinsi Ya kutengeneza:
Nenda YouTube kuna video nyingi tu zinaeleza jinsi ya kukata, kukunja na kuweka gundi. Search "how to make brown paper bags".
Mfano video
View: https://youtu.be/Yd4pFia5Arg?si=Vyl-apQU4i0yNYFE
Nadhani nimekusaidia mahali pa kuanzia.
Kufahamu ukate karatasi ukubwa gani kanunue mfuko wa kilo moja au nusu kilo fumua gundi pima vipimo.

Bei ya bundle ya karatasi nimesahau, namba ya Tanpack +255222773901 wapigie uulizie.
Kama utatumia mashine pia zipo roles kubwa za karatasi hapo Tanpack.
Mashine ulizia mitandaoni.
 
Habari ya wanajukwaa wenzangu, Mimi ni kijana wa kiume nipo mkoa wa Mbeya,nimekuwa nataman kuwa mtengenezaji bahasha hizi za kaki zinazotumika kama vifungashio.
Nimefuatilia kwenye mitandaoni kuona wapi naweza pata ujuzi na tarifa rasimi juu ya huu mradi lakini nimekosa.

Naomba kwa amabae anajua au anaweza nipatia tarifa sahihi juu ya huu mradi wa utengenezaji wa Bahasha(vifungashio).
Ni kazi nzuri na Kuna hela San kwenye projects zakutunza mazingira chamsingi weka iwe zile zenye quality jifunze sana sana anzia YouTube mpaka Pinterest huko uki master njoo kwangu ntakupa tenda
 
Hilo halihitaji kufundishwA, chukua hiyo bahasha ifumue, yaani ikunjuwe kwa umakini. Utaona namna ilivyokatwa na kukunjwa. Chukua gazeti na ulikate kulingana namna ilivyo hiyo bahasha. Gundi unaweza kutumia ngano au tafuta rasmi madukani au stastionaries
😹😹😹 gundi ngano? Zimekuwa sambusa hizo..!! 🤣
 
Ndio gundi ya loko pipo

Mm niliwah kipata idea kama hii miaka kadhaa nyuma, competitors wake ni wale wanaotengeza za karatasi nyeupe yani mitihani na nyaraka zilizotupwa na taasisi mbalimbali mana zile ni cheap kuliko hizo. Makaratas ya hizo unayapata tandika sokoni bando ni elfu 10 kama nina kumbukumbu nzuri

Although wateja wnaweza kuwa maduka. Wenye restaurants na wauza fast food, super market na famasi. Hapo una customise mana hawatumii size saw. Na hizi zikiwa 18 nahis buku. Si biashara yenye pesa sana ila inategemea na circle inapitia mana kuna watu nimewah kukutana nao ndo maisha yao miaka nenda rudi kazi ndo hiyo

Wengine wanatumia gundi ya mbao.
 
Kuna na pesa sana au kutoa kua na pesa biashara yeyeto itategemea na yule mfanyaji kama ataifanya kwa ukubwa kwa kuajiri watu akauza kwa jumla pesa anapata
 
Hilo halihitaji kufundishwA, chukua hiyo bahasha ifumue, yaani ikunjuwe kwa umakini. Utaona namna ilivyokatwa na kukunjwa. Chukua gazeti na ulikate kulingana namna ilivyo hiyo bahasha. Gundi unaweza kutumia ngano au tafuta rasmi madukani au stastionaries
Wewe kweli mshauri bora wa mwaka hapa JF
 
Hizo karatasi zinaitwa Kraft paper zinakuja rolls. Itabidi uwe na mashini ya kukata na kukunja pamoja na kugundisha. Hizi mashini zinaweza kutoa maelfu ya mifuko kwa siku pia ya saizi tofauti
Hivi vyote utapata kutoka China yaani karatasi na machini. Jaribu mitabdai ya Alibaba au made in china.
Muhimu soma soko kwanza, angalia bei ya jumla hapa ni kiasi gani Kisha Fanya feasibility ya mradi wako kama utaweza kupenyeza kwenye soko.
 
Back
Top Bottom