Kinyarugina
Member
- May 12, 2022
- 46
- 68
Nenda SIDOHabari ya wanajukwaa wenzangu, Mimi ni kijana wa kiume nipo mkoa wa Mbeya,nimekuwa nataman kuwa mtengenezaji bahasha hizi za kaki zinazotumika kama vifungashio.
Nimefuatilia kwenye mitandaoni kuona wapi naweza pata ujuzi na tarifa rasimi juu ya huu mradi lakini nimekosa.
Naomba kwa amabae anajua au anaweza nipatia tarifa sahihi juu ya huu mradi wa utengenezaji wa Bahasha(vifungashio).
SIDO ndio kwenyewe 🤣🤣Nimecheka huko unakomtuma
Ni kazi nzuri na Kuna hela San kwenye projects zakutunza mazingira chamsingi weka iwe zile zenye quality jifunze sana sana anzia YouTube mpaka Pinterest huko uki master njoo kwangu ntakupa tendaHabari ya wanajukwaa wenzangu, Mimi ni kijana wa kiume nipo mkoa wa Mbeya,nimekuwa nataman kuwa mtengenezaji bahasha hizi za kaki zinazotumika kama vifungashio.
Nimefuatilia kwenye mitandaoni kuona wapi naweza pata ujuzi na tarifa rasimi juu ya huu mradi lakini nimekosa.
Naomba kwa amabae anajua au anaweza nipatia tarifa sahihi juu ya huu mradi wa utengenezaji wa Bahasha(vifungashio).
😹😹😹 gundi ngano? Zimekuwa sambusa hizo..!! 🤣Hilo halihitaji kufundishwA, chukua hiyo bahasha ifumue, yaani ikunjuwe kwa umakini. Utaona namna ilivyokatwa na kukunjwa. Chukua gazeti na ulikate kulingana namna ilivyo hiyo bahasha. Gundi unaweza kutumia ngano au tafuta rasmi madukani au stastionaries
Aha ha haaaa, hiyo ngano ni ktk majaribio yake, kwanza anatakiwa ajifunnze kabla hajaanza rasmi😹😹😹 gundi ngano? Zimekuwa sambusa hizo..!! 🤣
Ndio gundi ya loko pipo😹😹😹 gundi ngano? Zimekuwa sambusa hizo..!! 🤣
Kuna na pesa sana au kutoa kua na pesa biashara yeyeto itategemea na yule mfanyaji kama ataifanya kwa ukubwa kwa kuajiri watu akauza kwa jumla pesa anapataNdio gundi ya loko pipo
Mm niliwah kipata idea kama hii miaka kadhaa nyuma, competitors wake ni wale wanaotengeza za karatasi nyeupe yani mitihani na nyaraka zilizotupwa na taasisi mbalimbali mana zile ni cheap kuliko hizo. Makaratas ya hizo unayapata tandika sokoni bando ni elfu 10 kama nina kumbukumbu nzuri
Although wateja wnaweza kuwa maduka. Wenye restaurants na wauza fast food, super market na famasi. Hapo una customise mana hawatumii size saw. Na hizi zikiwa 18 nahis buku. Si biashara yenye pesa sana ila inategemea na circle inapitia mana kuna watu nimewah kukutana nao ndo maisha yao miaka nenda rudi kazi ndo hiyo
Wengine wanatumia gundi ya mbao.
Wewe kweli mshauri bora wa mwaka hapa JFHilo halihitaji kufundishwA, chukua hiyo bahasha ifumue, yaani ikunjuwe kwa umakini. Utaona namna ilivyokatwa na kukunjwa. Chukua gazeti na ulikate kulingana namna ilivyo hiyo bahasha. Gundi unaweza kutumia ngano au tafuta rasmi madukani au stastionaries