Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Aisee kaka yule mrembo c nilikutana nae kwa onetime coz nilisafiri kwenda mbeya kiutaftaji so nikatake guest so nikamuomba mdada ambae alikuwa anasimamia guest anitaftie mdada wa kuniblanket ndipo aliponiletea huyu mdada mrembo aloniambukiza hili Gono pia hata number ya simu hatukubadilishana
 
Mbona umelileta hili siasani mkuu?

Usiache kupima na VVU maana gono na vvu ni kama anko na mjomba
Wakati kuna gono limeshamili miaka ya 70 hakukua na HIV ukimwi.mbona mnahusisha gono na HIV?
 
Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
Mkuu,.mm binafsi ckupi pole hata robo umejitakia mwenyewe yaani umevuna ulichopanda!!!HONGERA sana na ungetoa kabisa utomvu[emoji34]
 
Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
Sasa huu ugonjwa sawa unatibika, je UKIMWI utapona sasa ndugu yangu, yaani kweli kabisaaaaa mtu hata hata Hali yake ya maambukizi hujui unaenda hivyo hivyo. Dah kweli watu mna uthubutu, haya njoo inbox.
 
Duh..!
Ngoja nipite mbali maana nijuavyo mimi kama dushe linatoa usaha hivyo basi kwa ndani kumeshaoza na funza wamo.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…