pia kama una namba ya simu ya huyo mrembo mwambie aende hospitali akapate tiba kwasababu unaweza kuta dada ni mrembo sana lakini hajui kama ana huu ugonjwa simply because dalili za gono kwa mwanamke kama sijakosea huchukua muda mrefu sana mpaka kuonekana.Na ujinga wa wanaume wengi akiona tuu dada mrembo basi yeye ni nyama kwa nyama ikizingatia siku hizi hofu ya ukimwi imepungua sana kuliko UTI kwasababu uti mtu anaanza kujishtukia na kijasho fulani hivi tuu.pia hofu ya mungu ni ndogo sana kwa watu akiwa na watu anowajua anajidai mcha mungu ila akiwa gizani ni zaidi ya hao unao waita malaya au wadhinifu mungu atusaidie katika hili can u emagine mtu anagigwa game na mtu mwingine na ana toka maziwa kifuani tena bila kinga?basi haya yapo