abeidmalik
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 272
- 93
Acha uongo wewe, mbona shahawa hzo.Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
Wakati kuna gono limeshamili miaka ya 70 hakukua na HIV ukimwi.mbona mnahusisha gono na HIV?
Sema kwenye kinga sijui vip,maana kama mwezi hivi umepita Kuna dem alnipa gono wakati nmetumia salama,kuna jamaa yangu akadai labda ule mda navua yale maji yakadondokea dushe
Kwani amekwambia Kafa?Mshahara wa dhambi ni mauti.
Naona stakafeli hapo safi mkuu kaz nzurNimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?