Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
Acha uongo wewe, mbona shahawa hzo.
 
Sema kwenye kinga sijui vip,maana kama mwezi hivi umepita Kuna dem alnipa gono wakati nmetumia salama,kuna jamaa yangu akadai labda ule mda navua yale maji yakadondokea dushe

Inawezekana hiyo kweli,labda kwenye kuchezeana ulimshika kule chini halafu na wewe ukaja kujishika uume wako hapo bacteria lazima waingie...ndio maana tunashauriwa kama unapotumia condom wakati wa kuvua tutumie Tissue.
 
Jina lako linasadifu yaliyokukuta... Pata tiba usifiche mkuu

Weka mambo wazi mpe docta dushe alione after some days rudia tena
 
Unatakiwa ucheki na HOMA YA INI kabisa,ili uanze kunywa dawa mapema.
 
Halafu unakuta boya mwingine atamchukua huyo demu uliyelala nae azame chumvini.
 
Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
Naona stakafeli hapo safi mkuu kaz nzur
 
Back
Top Bottom