Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Wahi hospital. Dawa zipo. Inatibika na itarudi katika hali yake ndani ya week mbili. Ila ukumbuke na kupima vvu. Muwage mnatumia kondomu. Mtabeba na yasiyobebeka.
Pole mkuu.
Ameshasema kwenye ganda ladha si ile😛😛
 
Na Sindano zake zinaumaje?? Unachomwa matako yote mawl at a time, nenda mbio ukapime na viruses km vile HIV na Hepatitis..[emoji125]
 
Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
Sa iv apo ukikojoa unaona rahaaaaaa!![emoji41]
 
Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
Paka asali mbichi Mzee hasbuhi na jioni , Unapaka dushee lote kuanzia kwenye sina mpaka kichwani, siku tatu tu Upo Sawa.
 
Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
Kumbe ulianza siku nyingihttps://www.jamiiforums.com/index.php?posts/19790500.
Huyu mke wa MTU hakukuambukiza kweli?
Naishi kimapenzi na mke wa mtu na nimeshampa ujauzito.
Mimi naona unapenda sana uzinzi
Nimekuta ARVs kwa mpenzi wangu.

Umevuna ulichopanda.
Cc. Sky Eclat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…