Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 368
Wahi kapime,hizo ni dalili za gonorhea
Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?