Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Yaani mi nko Arusha naendelea na maisha yngu kumbe kuna jemba znaenda home mbeya kunigongea dada zangu.



POLE MKUU WAHI HOSPITAL HILO NI GONO MUBASHARA TO THAT EXTENT
 
Pole mkuu. Punguza kupiga kavu. Daaah. Alafu ukirudi kwa mkeo unataka alinyonye. Maaanina. Sisi wanaume sijui nani katuloga. Alafu huo mkoa unavyosifika kwa ngoma sijui ksma umenusurika
Hata cjielewi ndg itakuwaje kama nikipima ngoma itakuwaje pia.
 
Nilikuwa na miadi na mrembo Fulani hadi mzuka umekata
[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Kwa hali hiyo bora kupiga punyeto tu ukiwa safarini.
Jamani Tusiidharau Punyeto kuliko kutafuta kifo kirahisi namna hii.
Kweli kabisa ndg kama mimi ninaepaya maumivu haya ni bora iwe nafanya ivo tuuuu
 
Back
Top Bottom