Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Yaani mi nko Arusha naendelea na maisha yngu kumbe kuna jemba znaenda home mbeya kunigongea dada zangu.



POLE MKUU WAHI HOSPITAL HILO NI GONO MUBASHARA TO THAT EXTENT
Dah kaka ni kweli ila najua cjamgonga dadayo sema si unajua hizi hamu zetu za usiku kwa guest nikamwambia mdada wa guest anitafutie mchuchu ndipo akaniletea hili homa
 
Wacha kutuonesha uchafu wako, kwani huwezi kusema bila kuuonyesha huo uozo wako?
Unaonekana siyo mstaarabu.
Muhuni fulani
 
Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
panatoa maziwa mkuu, hahahaha kama dairy cattle vile. usitibu mzee uendelee kunywa maziwa ujenge afya
 
Mmmmm kweli nimeamini kuna aina za Viungo....
Hapo umetahiliwa au umelipanyua G-ovi...???
Mbona nyekundu sana hicho kichwa....
 
Umeamua kutafuta kiki sio.....!!!

Hv kweli mtu anaeumwa badala ya kwenda kwa doctor yanaweza kuwa na muda wa kuja kupigana soga huku JF
Kaka nilisha kwenda embu cheki tym ambayo sikuwa kwa hewa more than 2 and ahalf nilikwenda kucheck na nimeambiwa kuwa ni Gono ila Ukimwi ctaki kupima now
 
Back
Top Bottom