Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Wacha kutuonesha uchafu wako, kwani huwezi kusema bila kuuonyesha huo uozo wako?
Unaonekana siyo mstaarabu.
Muhuni fulani
Kaka kwani me nimeona nipate ushauri mzuri ni lazima nioneshe ukweli ila am sorry naomba ushauri wako
 
Mmmmm kweli nimeamini kuna aina za Viungo....
Hapo umetahiliwa au umelipanyua G-ovi...???
Mbona nyekundu sana hicho kichwa....
Kaka me ni mweupe na pia nimetahiriwa vzr tu sinapinyua govi
 
Wahi hosptitali mkuu ukapate matibabu, vilevile acha ngono zembe ya kujamiana bila kinga
 
Hapana usitishike unaweza kupata gono bila kupata ukimwi sio lazima kila mwenye ugonjwa wa zinaa anakuwa na maambukizi ya ukimwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…