Niko Dodoma, nilimuomba ndugu yangu kunilipia NACTE, ila akawa amechelewa, nikaamua kulipia.
Kumbe muda huohuo akawa amenilipia. Nikawa nina namba mbili za 50,000, ile yake nimeitumia kufanya application hii nyingine nashindwa nifanyeje.
Nimepiga simu vodacom wamenipa namba za NACTE ila tatizo hawapokei simu. Nimetuma email hawajibu.
Kama kuna mtu angependa nimpe hii namba aitumie tuwasiliane 0757966585.