Msaada nimelipia mara 2 NACTE

Msaada nimelipia mara 2 NACTE

ytara jr.

Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
61
Reaction score
22
Niko Dodoma, nilimuomba ndugu yangu kunilipia NACTE, ila akawa amechelewa, nikaamua kulipia.

Kumbe muda huohuo akawa amenilipia. Nikawa nina namba mbili za 50,000, ile yake nimeitumia kufanya application hii nyingine nashindwa nifanyeje.

Nimepiga simu vodacom wamenipa namba za NACTE ila tatizo hawapokei simu. Nimetuma email hawajibu.

Kama kuna mtu angependa nimpe hii namba aitumie kufanya application tuwasiliane, 0757966585.
 
Niko Dodoma, nilimuomba ndugu yangu kunilipia NACTE, ila akawa amechelewa, nikaamua kulipia.

Kumbe muda huohuo akawa amenilipia. Nikawa nina namba mbili za 50,000, ile yake nimeitumia kufanya application hii nyingine nashindwa nifanyeje.

Nimepiga simu vodacom wamenipa namba za NACTE ila tatizo hawapokei simu. Nimetuma email hawajibu.

Kama kuna mtu angependa nimpe hii namba aitumie tuwasiliane 0757966585.

unachotaka ni nini?
 
Back
Top Bottom