Msaada: Nimelipia Vodacom Supakasi lakini ni wiki ya 3 sasa bado sijapewa huduma

Msaada: Nimelipia Vodacom Supakasi lakini ni wiki ya 3 sasa bado sijapewa huduma

Naombeni msaada nimelipia huduma ili niunganishwe lakini kwasasa inaenda week ya 3 sasa sijapewa vifaa na bado sijapata huduma. Nipo mkoani, mwenye mawasiliano na watu wa makao makuu voda naomba namba zao

Cc Chief-Mkwawa
Kwani unalipia kabla ama wakati wanakufungia? Voda ya mkoa wako inasemaje? Maana supakasi sio complicated sana hasa ikiwa na router.
 
Kwani unalipia kabla ama wakati wanakufungia? Voda ya mkoa wako inasemaje? Maana supakasi sio complicated sana hasa ikiwa na router.
Unafanya maombi kisha wanatengeneza V-account ukishalipa ndio unakuja kufungiwa sasa huduma.

Changamoto ni kuwa wa mikoani tunasubiria router kutoka Dar hapo ndio balaa lilipo
 
Back
Top Bottom