Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Kwani unalipia kabla ama wakati wanakufungia? Voda ya mkoa wako inasemaje? Maana supakasi sio complicated sana hasa ikiwa na router.Naombeni msaada nimelipia huduma ili niunganishwe lakini kwasasa inaenda week ya 3 sasa sijapewa vifaa na bado sijapata huduma. Nipo mkoani, mwenye mawasiliano na watu wa makao makuu voda naomba namba zao
Cc Chief-Mkwawa
π π π angeanzia na alipo lipa kwanzaUlilipaje. Usikute uliwapa wale wasajiri laini.
Unafanya maombi kisha wanatengeneza V-account ukishalipa ndio unakuja kufungiwa sasa huduma.Kwani unalipia kabla ama wakati wanakufungia? Voda ya mkoa wako inasemaje? Maana supakasi sio complicated sana hasa ikiwa na router.
Unajibu kitu ambacho hujui.Ulilipaje. Usikute uliwapa wale wasajiri laini.
π π π angeanzia na alipo lipa kwanza
Nafikiri angeanzia Vodashop ya mkoa husika. Unakomaa nao hapo uso kwa usoUnatengenezewa V-Account kisha unalipa mwenyewe kwa M-Pesa