Msaada: Nimeona fursa nzuri ya kilimo ila sina mtaji wa kuanzia

Tonny234

Member
Joined
Oct 26, 2016
Posts
9
Reaction score
3
Hallow ... hope wote mko poa.

Kuna mahali nilikwenda kutembelea nikapata fursa ya KILIMO tena ni kizur sana pia nilifanya utafiti wa maji yapo pia ardhi inarutuba ya kutosha ila hela ya kwenda kufanya uwo MRADI wa kilimo sina naombeni hoja zenu
 
Huwezi kupata hela ya mradi wakati hata kujieleza hujui
Na hata huo utafiti ulioufanya huo sio utafiti ila ni uangaliaji.

Vijana wa kitanzania hembu tuamke,sio mpaka wakenya waje kuwekeza sie tumelala tuu,maana Mkuu ndio anawaita hukow aje
Inatakiwa ujieleze ili watu wakuchambue na wakupe maelezo yanayoweza kukusaidia.Usione hao waliocha hicho kilimo hapo ni wajinga au hawana mtaji.Ila mpaka ujue undani wake lazima ufunguke ili watu wakuelekeza namna ya kujiripua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…