Huwezi kupata hela ya mradi wakati hata kujieleza hujui
Na hata huo utafiti ulioufanya huo sio utafiti ila ni uangaliaji.
Vijana wa kitanzania hembu tuamke,sio mpaka wakenya waje kuwekeza sie tumelala tuu,maana Mkuu ndio anawaita hukow aje
Inatakiwa ujieleze ili watu wakuchambue na wakupe maelezo yanayoweza kukusaidia.Usione hao waliocha hicho kilimo hapo ni wajinga au hawana mtaji.Ila mpaka ujue undani wake lazima ufunguke ili watu wakuelekeza namna ya kujiripua