Mali bila daftari huisha bila habari.
Usiwe mlevi wa Pombe na Wanawake.
Jiepushe kula kula au kunywa kunywa ovyoovyo mitaani ( yaan Hakikisha unakwepa mazingira ya kupewa SUMU).
Muombe Mungu .
Usikurupuke kufanya mambo makubwa Sijui biashara n k... Achana na ushauri wa jamaa Sijui Leta Hela tuwekeze Mahali Fulani ...maana nao wanajua unahela, Sasa wanaitafuta MBINU za kupiga .
Relax, Kuna watu wanakufa kwasababu Furaha imewazidi.
Mengine watakuongezea wakulasa