kinda la baba
Senior Member
- Jun 13, 2024
- 117
- 125
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kwanza mimi sio muandishi mzuri, mtanisamehe kwa uandishi wangu. Tatizo lipo mwezi uliopita nilichukua mkopo kwenye Benki ya NMB kutokana na matatizo niliokuwa nayo. Baada ya mwezi mmoja, nikarudisha deni lote. Baada ya hapo, nilitaka kuchukua mkopo mwingine, lakini mara hii nikaambiwa siwezi kupewa mkopo sababu nina madeni taasisi nyingine. NMB hawawezi kunipa mkopo hadi nimalizane na hiyo taasisi.
Madeni yao binafsi sikuwahi kuchukua mkopo sehemu yoyote au taasisi yoyote. Hii imenifanya niwe na mshangao sana. Hiyo taasisi inaitwa CREDINFO CHRONICLE. Wakuu, hii taasisi inajihusisha na nini? Napata changamoto za kupata mkopo kutokana na hii taasisi.