Kweli Kufa Kufaana....Iyo bodaboda unamaanisha nitakuwa nikiiyangalia tu au unaniruhusu niitembelee au nakaa na kadi?
Pia nataka kufahamu kama ukishindwa kurudisha je tunataifisha hizo dhamana?!!!
Kiwanja kipo wap?
Kigamboni sehemu gani nilitaka kuuliza hivyoAmesema Kingaboni
Iyo bodaboda unamaanisha nitakuwa nikiiyangalia tu au unaniruhusu niitembelee au nakaa na kadi?
Pia nataka kufahamu kama ukishindwa kurudisha je tunataifisha hizo dhamana?!!!
Kigamboni sehemu gani mkuu.. niuzie ni ngapi kwa ngapi?Kigamboni
Kwa kweli hesabu hujui mkuu omba msaada usizidi kuibiwa kwenye biashara zako.Kama sijakosea liba ya asilimia mbili ktk milioni mbili ni kama laki mbili hivi hiyo kwangu ni ndogo labda ufanye asilimia tano kwa wewe
Mkuu bora kuuza kuliko dhamana.Husika na kichwa cha habari.
Mimi ni dada mfanyabiashara, mpambanaji, ila nimekwama kidogo nahitaji mkopo wa Haraka takupa dhamana ya bodaboda (Mpya Haina hata mwaka) na dhamana ya kiwanja kipo Kigamboni, nimekwama jamani, anayefahamu mtu au taasisi kindly PM.
Asanteni
Ni makosa ya kiuwandishi tu na ndio maana kwenye hesabu nikarudi pale pale kuwa afanye riba isogee iwe laki tanoKwa kweli hesabu hujui mkuu omba msaada usizidi kuibiwa kwenye biashara zako.