road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
NAKAZIA💪Madareva weng huwa hawategemei mishahara yao, most huwa na night nying Sana. Nakushaur jarib kufanya utafit kwanza kuhusu Kaz ya Sasa na hyo awali. Unaweza kupata kituuuu mkuuu
Security ya ajira ni ujinga ambao unawaponza wengiSerikalini kwa nafasi ya udereva utapata security ya ajira, Pia chunguza hiyo ofisi inasafari za kutosha unaweza pata zaidi ya laki 8 kama night huku salary usiiguse, pili serikalini ukiingia ni rahisi kuchungulia taasisi nyingine zenye safari na ukahamia kwa urahisi kwa check namba yako tu.
Nimeshamwambia...asije kuomba ushauri tena hapaHao WMA sii ni ajira za muda hizo. Mkataba wa mwaka mmoja,. Komaa na mwendokasi utakuja lia
Ni Joint venture..serikai na privateKwani mwendokasi sio serikalini?
Ni kampuni binafsi???
Kwa kipi?Ningeipata hiyo nafasi mimi, ningeenda kuripoti fasta!