Kuna madaraja matatu kiongozi ikijumuishwa secretaries, drivers sina uhakika kwa office attendants hao wapo ngazi ya 80k kwa night moja, then kuna officers kama wahasibu, IT Technicians, Communication officers etc, hao wapo ngazi ya 100 then **** senior officers wanakula 120k kwa night moja. Sasa sijajua unaposema per diem inatokana na ngazi ya mshahara unamaanisha vipi labda, ila kama inatokana na cheo cha mtu, basis hizo rates ndizo nnazozifahamu mimi chief.
Suala la mikopo kwa watumishi was serikali nnavyofahamu ni liko wazi sijajua kwa upande wako unaposema ni mtumishi halafu hujawahi kupata mkopo tatizo ni nini walikukatalia kukupa...? Kwa kigezo kipi...? Au hukuwahi kuomba tu kiongozi...?