MSAADA: Nimepata kazi Serikalini dereva ila mshahara mdogo kuliko wa Mwendokasi ninakofanya kazi sasa. Nimechanganyikiwa!

MSAADA: Nimepata kazi Serikalini dereva ila mshahara mdogo kuliko wa Mwendokasi ninakofanya kazi sasa. Nimechanganyikiwa!

Na uhakika 100% perdiem inaendana na cheo au ngazi ya mshahara. Perdiem ya dereva haiwezinkuwa sawa na perdiem ya Mkurugenzi au Ofisa labda kama ngazi zao za mshahara zinafanana.
Siyo kila sehemu kuna hiyo access...mm sijawahi pata huo mkopo unaousema licha ya kuwa kwenye taasisi za kiserikali.

Kuna madaraja matatu kiongozi ikijumuishwa secretaries, drivers sina uhakika kwa office attendants hao wapo ngazi ya 80k kwa night moja, then kuna officers kama wahasibu, IT Technicians, Communication officers etc, hao wapo ngazi ya 100 then kuna senior officers wanakula 120k kwa night moja. Sasa sijajua unaposema per diem inatokana na ngazi ya mshahara unamaanisha vipi labda, ila kama inatokana na cheo cha mtu, basis hizo rates ndizo nnazozifahamu mimi chief.

Suala la mikopo kwa watumishi was serikali nnavyofahamu ni liko wazi sijajua kwa upande wako unaposema ni mtumishi halafu hujawahi kupata mkopo tatizo ni nini walikukatalia kukupa...? Kwa kigezo kipi...? Au hukuwahi kuomba tu kiongozi...?
 
Nani kakwambia serikalini watu wanategemea mishahara??

Tena kwa kazi yq dereva yani unakuwa na per diem za kulala nje ya ndoa kibao ni wewe tu juhudi zako za kusuka majungu uwe unasafiri safiri zaidi ya wenzako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo hapo nikujua kuubwabwaja, tena kwa majungu kama memory card haa haa haa
 
Acheni kumjaza mwenzenu ujinga...uache laki nane ukimbilie laki tatu..ukikatwa hiyo unabaki na laki mbili...ukienda huko utakula msongo wa mawazo to your entire life. Kuhusu ishu ya perdiem wasikudanganye..perdiem inaendana na levo ya mshahara..kwa mshahara huo perdiem yako haitazidi elfu sitini..sasa upate safari ya siku tatu singida utalipwa 240,000. Ukienda huko ulipie guest, msosi, utakutana na watoto wa kiburushi..utakula nao bata..siku ya kurudi mjini utaishia kubeba machungwa na viazi hautabaki na kitu.
Ushauri wangu endelea hapo hapo mwendokasi

[emoji23][emoji23][emoji23]kwako mwalimu kashasha
 
Kuna madaraja matatu kiongozi ikijumuishwa secretaries, drivers sina uhakika kwa office attendants hao wapo ngazi ya 80k kwa night moja, then kuna officers kama wahasibu, IT Technicians, Communication officers etc, hao wapo ngazi ya 100 then **** senior officers wanakula 120k kwa night moja. Sasa sijajua unaposema per diem inatokana na ngazi ya mshahara unamaanisha vipi labda, ila kama inatokana na cheo cha mtu, basis hizo rates ndizo nnazozifahamu mimi chief.

Suala la mikopo kwa watumishi was serikali nnavyofahamu ni liko wazi sijajua kwa upande wako unaposema ni mtumishi halafu hujawahi kupata mkopo tatizo ni nini walikukatalia kukupa...? Kwa kigezo kipi...? Au hukuwahi kuomba tu kiongozi...?
Kuna taasisi mambo yao hayaendani na taaisis zingine..ni muhimu kufuatilia badala ya kugeneralise..
 
Wanabodi mm ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month .
Wandugu kwa sasa nimevurugwa kwan baada ya interview iliyohusisha watu 760 ambao tuliomba kazi wakala wa vipimo tumepenya na kuajiriwa 57 tuu!

Nimepewa barua Jana napaswa kuripoti kituon kuanzaia 2/7 sasa aisee mbona hii salary Jau!? Yan nipo kipindi kigumu wandugu hebu wenye uzoefu nisaidieni hill!?kiukweli napata wakati mgumu sana barua ninayo ila naipenda ajira za serikali tatizo hiyo salary!?

Naomba ushauri.
Serikalini ukiumwa unahakika na mwisho wa mwezi kwa muda usiopungua miezi sita! na pia hakika ya matibabu toka bima ya afya kwa gharama ndogo na huduma nzuri. Per diem nyingi za bosi nawe umo
 
Dole gumba. Niliachana na mawazo ya kijinga ya security ya kazi zamani sana. Na wala sijawahi kujuta. Kuna sehemu ukifanya kazi miaka 5 unatapa hela yote ambayo ungeisotea serikalini kwa miaka 15-20. Sasa kwa nini ukae huko serikalini kwa miaka 20 wkt kuna nafasi ya kupata hiyo pesa ktk miaka 5? Siyo ujinga huo ni nini? Na wakati natoka serikalini, kaka yangu alitoa machozi akifikiri napotea njia! Yeye yuko serikalini kwenye security miaka nenda rudi lakini amechakaa sana. Hana msaada wowote kwenye familia yetu pamoja kuwa na security ya kazi. Karibu anastaafu sasa.
Mkuu,tatizo watanzania wengi tunapenda kutengenezewa fursa,yaani mtu atengeneze Jambo la faida halafu akunufaishe wewe kirahisi ...

800k per month yaan Ni zaidi ya mwalimu mwenye digrii
 
Wanabodi mm ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month .
Wandugu kwa sasa nimevurugwa kwan baada ya interview iliyohusisha watu 760 ambao tuliomba kazi wakala wa vipimo tumepenya na kuajiriwa 57 tuu!

Nimepewa barua Jana napaswa kuripoti kituon kuanzaia 2/7 sasa aisee mbona hii salary Jau!? Yan nipo kipindi kigumu wandugu hebu wenye uzoefu nisaidieni hill!?kiukweli napata wakati mgumu sana barua ninayo ila naipenda ajira za serikali tatizo hiyo salary!?

Naomba ushauri.
Mwendo kasi ni kudumu au part time. Kama ni part time acha mwendo kasi. Nenda serikali. Ukiwa serikalini posho kadiri unavyo pata uzoefu utapata zaidi ya hiyo na utakuja juta kwanini ulichelewa
 
Kuna taasisi mambo yao hayaendani na taaisis zingine..ni muhimu kufuatilia badala ya kugeneralise..

Okay kwa watu wa WMA kwani rate zao zipo chini kiasi gani kumzuia jamaa asiende kupiga mzigo serikalini chief...?

Cha msingi akomae na Transport Officer ahakikishe kila anapopata safari asimsahau T.O coz wanaingia wengi hapo kwa hiyo lazma ajiongeze asubuhi na mapema tu sio.
 
Mkuu nnavyofahamu mimi even if mwendokasi sio kama serikal lakini hauna budi kuiacha
Kwasababu! Mwendokasi ipo na itaendelea kuwepo
Sio project ya wiki au mwez n ya muda wooote
Kwahyo fanya kazi kwa uaminifu hapo hapo mwendokasi
Usitibuane na watu wala kufanya magendo
Nnaamin utadumu tu
Huko kwa 300000 Mwanangu sio deal kabisaaaa
 
Ndio tutambue wawekezaji ni muhimu kwetu, serikali haina uwezo wa kulipa mishahara mikubwa kwa wafanyakazi wote...wawekezaji/wageni waondolewe masharti na wapewe msamaha wa kulipa permit/visa free. Sisi kama wazawa tutapata ajira na mishahara mikubwa, na serikali itanufaika mno kupitia wawekezaji na hata sisi walipa kodi.
 
Okay kwa watu wa WMA kwani rate zao zipo chini kiasi gani kumzuia jamaa asiende kupiga mzigo serikalini chief...?

Cha msingi akomae na Transport Officer ahakikishe kila anapopata safari asimsahau T.O coz wanaingia wengi hapo kwa hiyo lazma ajiongeze asubuhi na mapema tu sio.
Hayo maisha ya kumtegemea transport officer ni maisha ya ufala uliozidi kipimo..wewe unafikiri huko anapoenda wapo madereva wangapi..wote wamfuate huyo officer unategemea nn...ndo yale mambo ya nipe changu nikuweke kwenye list
 
Kuna madaraja matatu kiongozi ikijumuishwa secretaries, drivers sina uhakika kwa office attendants hao wapo ngazi ya 80k kwa night moja, then kuna officers kama wahasibu, IT Technicians, Communication officers etc, hao wapo ngazi ya 100 then kuna senior officers wanakula 120k kwa night moja. Sasa sijajua unaposema per diem inatokana na ngazi ya mshahara unamaanisha vipi labda, ila kama inatokana na cheo cha mtu, basis hizo rates ndizo nnazozifahamu mimi chief.

Suala la mikopo kwa watumishi was serikali nnavyofahamu ni liko wazi sijajua kwa upande wako unaposema ni mtumishi halafu hujawahi kupata mkopo tatizo ni nini walikukatalia kukupa...? Kwa kigezo kipi...? Au hukuwahi kuomba tu kiongozi...?
Ngazi za mshahara
Afya mfano
TGHS A hadi C wanapata 80,000
TGHS D hadi F 100000
TGHS G nakuendelea 120000

Hapa wakiwa manispaa na mjiji. Inapungua kulingana na kushuka miji
 
Nani kakwambia serikalini watu wanategemea mishahara??

Tena kwa kazi yq dereva yani unakuwa na per diem za kulala nje ya ndoa kibao ni wewe tu juhudi zako za kusuka majungu uwe unasafiri safiri zaidi ya wenzako😂😂😂😂😂
... inategemea majukumu atakayopewa. Kuna taasisi kama UDSM zina hadi matrekta ya kupeleka takataka dampo na wengine wana bodaboda za kufuata barua posta. Ajiandae kisakolojia sio lazima akakabidhiwe V8 maana ndio dream za madereva huko sirkalini hadi wanalogana. Na 300 series muda wowote itaingia serkalini tegmeeni vifo vya ghafla vya madereva!
 
Mkuu,tatizo watanzania wengi tunapenda kutengenezewa fursa,yaani mtu atengeneze Jambo la faida halafu akunufaishe wewe kirahisi ...

800k per month yaan Ni zaidi ya mwalimu mwenye digrii

Inategemea na taasisi uliyopo kiongozi kama hapa nilipo mimi ni driver na nalamba 1.2m kiongozi...!

Kuna sehemu driver anakula mpaka 3m acha kabisa chief...!
 
Back
Top Bottom