Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unaachaje salary hiyo ambayo ukikaa mwaka tu unaweza kufungua duka la jumlaa jijini dar na ukasahau kuwa ulikuwa dereva...halafu mtu aifuate laki 3 yenye makato kibaoInategemea na taasisi uliyopo kiongozi kama hapa nilipo mimi ni driver na nalamba 1.2m kiongozi...!
Kuna sehemu driver anakula mpaka 3m acha kabisa chief...!
Dereva inategemea na mahali! Madereva walioko kwenye miradi ya serikali ama tafiti wanakunja hela ndefu! 😂😂😂Inategemea na taasisi uliyopo kiongozi kama hapa nilipo mimi ni driver na nalamba 1.2m kiongozi...!
Kuna sehemu driver anakula mpaka 3m acha kabisa chief...!
Naunga mkono hoja[emoji106]Madareva weng huwa hawategemei mishahara yao, most huwa na night nying Sana. Nakushaur jarib kufanya utafit kwanza kuhusu Kaz ya Sasa na hyo awali. Unaweza kupata kituuuu mkuu.
Inategemea na taasisi uliyopo kiongozi kama hapa nilipo mimi ni driver na nalamba 1.2m kiongozi...!
Kuna sehemu driver anakula mpaka 3m acha kabisa chief...!
N A K A Z I ANAKAZIA💪
Mi namshauri aende tu hua mishahara kila mwaka hupanda,huu ni utawala mpya wa mama SamiaLaki tatu bado hawajakata bima na nssf utabakiwa na 240,000/=
Hahahaaa kama kuna jamaangu alipata kazi udereva wizara ya kilimo akazogoa nini sijui wakamkabidhi trekta la kulimia mpunga na kubeba magunia chimala huko. Unakaa chaka kwa chaka... inategemea majukumu atakayopewa. Kuna taasisi kama UDSM zina hadi matrekta ya kupeleka takataka dampo na wengine wana bodaboda za kufuata barua posta. Ajiandae kisakolojia sio lazima akakabidhiwe V8 maana ndio dream za madereva huko sirkalini hadi wanalogana. Na 300 series muda wowote itaingia serkalini tegmeeni vifo vya ghafla vya madereva!
Hahahahaaa madereva wanapigana misumari balaa. Ukiwa dereva wa tengo lenye safari sana unaula wakuone unajenga au mnapatana na boss wako lazima ule majungu sana mpaka ukabidhiwe trekta la idara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo hapo nikujua kuubwabwaja, tena kwa majungu kama memory card haa haa haa
Nina uhakika Mwendo kasi hifahamu hata kitu kinaitwa Per diem. Serikalini wapo madereva wanaishi vzr kushinda baadhi ya maofisa wakubwa. Nikushauri tu uendee, mwanzo mgumu lkn utafika. Changamoto mpya ndizo zinakuza akili.Nimepata kazi Serikalini dereva mshahara 300,000/ kwa mwezi, wakati Mwendo kasi nachukua 800,000/. Nimechanganyikiwa!
Wanabodi mimi ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na Mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month .
Wandugu kwa sasa nimevurugwa kwan baada ya interview iliyohusisha watu 760 ambao tuliomba kazi wakala wa vipimo tumepenya na kuajiriwa 57 tuu.
Nimepewa barua Jana napaswa kuripoti kituon kuanzaia 2/7 sasa aisee mbona hii salary Jau!? Yaani nipo kipindi kigumu wandugu hebu wenye uzoefu nisaidieni hill!?
Kiukweli napata wakati mgumu sana barua ninayo ila naipenda ajira za Serikali tatizo hiyo salary!?
Naomba ushauri.
🙌wewe tu juhudi zako za kusuka majungu uwe unasafiri safiri zaidi ya wenzako
Kabla ya kushauri naomba kufahamu yafuatayoNimepata kazi Serikalini dereva mshahara 300,000/ kwa mwezi, wakati Mwendo kasi nachukua 800,000/. Nimechanganyikiwa!