Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapeli Bado upoPole mkuu kama inshu ni kutaka kuacha pombe kuna dawa ya kienyeji anayo mama mmoja yupo pale mwanza akinywa tu kwisha habari lkn kikubwa awe tayari kuacha kwa hiali yake ,watu kbao nnao wajua akiwemo Baba yangu wameacha mpaka leo kama yupo tayari kaz kwake sasa
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Utapeli Bado upoMtafutie watumishi wa Mungu wamwombee, hv haujui kuna mapepo yanamlazimisha mtu kunywa sana, mengine kula sana nk?
Wewe utakuwa mwalimu wao bila shaka wap umeona kaambiwa atume hela au wap umeona namba ya smu hapoUtapeli Bado upo
Acheni utapeli nyie watu. Mkiona mtu ana shida ndiyo mnaona pakutokea badala ya kumsaidia. Uliona wapi dawa ya kutibu ulevi au maombi ni dawa toka lini. Acheni utapeli wenuWewe utakuwa mwalimu wao bila shaka wap umeona kaambiwa atume hela au wap umeona namba ya smu hapo
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Asiyejua maana haambiwi maana kariri hivyohvyo mkuuAcheni utapeli nyie watu. Mkiona mtu ana shida ndiyo mnaona pakutokea badala ya kumsaidia. Uliona wapi dawa ya kutibu ulevi au maombi ni dawa toka lini. Acheni utapeli wenu
Acha utapeli Kwa mgongo wa uganga au udini. Huo ni wiziAsiyejua maana haambiwi maana kariri hivyohvyo mkuu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Uliona wapi maombi yakawa dawa. Acheni utapeli. Mnadanganya watu kuwaombea kumbe mnazidi kuwapoteza na kuwafilisiKuna mama mja akikuombea utaacha kunywa anaitwa Theresia anapatikana kipunguni B wanapaita kwa matembo,niliendaga hapo mpaka sasa hivi Nina maisha yangu ,lakini mwanzo nilikuwa addicted
Wewe hapo urafiki kwa kasikana hamna grand malt za bei ya chini?Duniani kuna magonjwa mengi mengine ni psychological made. Anyway, mimi nmepokea mgeni ambaye amekuja likizo maalum. Jamaa yangu wa kitambo sana.
Ilikuja tu tokea akawa amemaliza chuo kaajiriwa sehemu akafundishwa kunywa pombe...akaja kuwa komba. Wamehangaika naye sana. Mpaka mke amechoka naye..kutumia 500,000 hadi 1,000,000 kwa mwezi ni kawaida sana kwake.
Sababu pia akinywa ananunulia sana na hao anaita washkaji. Sasa amekuja home apumzike nami nimsaidie aache pombe. Nimemwanzishia matumizi ya Grand Malt...amependa kwa siku anakata hadi vikopo vitano. Ya baridi sana.
Sasa naomba msaasa wenu. Mtu anayefanya kazi sehemu wanapotengeneza hizi.anisaidie kama watanishushia bei nije chukua cartons kadhaa. Maana vinaenda sana. Nahitaji sehemu ambayo watashusha bei zaidi ya inayouzwa maduka ya jumla..ninunue cartons nyingi. Jamaa ana week ya tatu hajanywa pombe. Na afya yake imerejea vizuri.macho yamekuwa vizuri maana yalikuwa mekundu almost everytime.
Natanguliza shukrani.
Kwa jirani yangu kabisa ulikujaKuna mama mja akikuombea utaacha kunywa anaitwa Theresia anapatikana kipunguni B wanapaita kwa matembo,niliendaga hapo mpaka sasa hivi Nina maisha yangu ,lakini mwanzo nilikuwa addicted
Dawa zipo mkuu usibisheAcheni utapeli nyie watu. Mkiona mtu ana shida ndiyo mnaona pakutokea badala ya kumsaidia. Uliona wapi dawa ya kutibu ulevi au maombi ni dawa toka lini. Acheni utapeli wenu