MSAADA: Nimepata mgonjwa wa ajabu nyumbani

Ambacho sijaelewa ni kwamba huyu jamaa ameacha familia yake akaja kukaa kwako au? Na je, huo ugonjwa uliosema ndio hiyo kunywa pombe au ana ugonjwa mwingine?

Ushauri: Hizo grand malta zitamletea madhara makubwa zaidi kuliko hiyo pombe aliyoiacha.
 
Utapeli Bado upo
 
Wewe utakuwa mwalimu wao bila shaka wap umeona kaambiwa atume hela au wap umeona namba ya smu hapo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Acheni utapeli nyie watu. Mkiona mtu ana shida ndiyo mnaona pakutokea badala ya kumsaidia. Uliona wapi dawa ya kutibu ulevi au maombi ni dawa toka lini. Acheni utapeli wenu
 
Asiyejua maana haambiwi maana kariri hivyohvyo mkuu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kuna mama mja akikuombea utaacha kunywa anaitwa Theresia anapatikana kipunguni B wanapaita kwa matembo,niliendaga hapo mpaka sasa hivi Nina maisha yangu ,lakini mwanzo nilikuwa addicted
 
Uliona wapi maombi yakawa dawa. Acheni utapeli. Mnadanganya watu kuwaombea kumbe mnazidi kuwapoteza na kuwafilisi
 
Wewe hapo urafiki kwa kasikana hamna grand malt za bei ya chini?
 
Hauko seriou mkuu grand 5 kwa siku alfu unaona sawaa huyo jamaa achwe maisha aliyoyachagua ni yake hyo
 
Kuna mama mja akikuombea utaacha kunywa anaitwa Theresia anapatikana kipunguni B wanapaita kwa matembo,niliendaga hapo mpaka sasa hivi Nina maisha yangu ,lakini mwanzo nilikuwa addicted
Kwa jirani yangu kabisa ulikuja
 
The best ways to improve himself are by application of either psychology or religion, perhaps by both of them.
 
Acheni utapeli nyie watu. Mkiona mtu ana shida ndiyo mnaona pakutokea badala ya kumsaidia. Uliona wapi dawa ya kutibu ulevi au maombi ni dawa toka lini. Acheni utapeli wenu
Dawa zipo mkuu usibishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…