Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 979
- 277
Asalaam wakuu,,
niko tabora vijijini ni mwalimu nina mizka miwili kazini.
Nimepata nafasi ya kusoma digrii ya ualimu,nmepata pia mkopo,ila kigezo kikubwa cha kupata ruhusa toka kwa mwajiri ni lazima uwe umetimiza angalau miaka mitatu!..,,nawaza nitaombaje ruhusa?,je nikinyimwa?,
ushauri wakuu

kumbe!.uko wap mkuu?,,huyo ana bana tu mi nna miaka 2 lakin nmeruhusiwa kiulaini na niwatu kibao huku wanaruhusiwa.
Kama hujamshirikisha mwajiri wako mwanzoni,kwann unataka umshirikishe mwisho.
Asalaam wakuu,,
niko tabora vijijini ni mwalimu nina mizka miwili kazini.
Nimepata nafasi ya kusoma digrii ya ualimu,nmepata pia mkopo,ila kigezo kikubwa cha kupata ruhusa toka kwa mwajiri ni lazima uwe umetimiza angalau miaka mitatu!..,,nawaza nitaombaje ruhusa?,je nikinyimwa?,
ushauri wakuu
kukopa ili iweje?,,nimepata mkopo wa bodi asilimia nyingi tuu,,,nifanyeje?,,,M mwenyewe ilinitokea mwaka 2012 kama wewe,nilihangaika ruhusa nilikosa mm kwangu Rushwa ni mwiko,nilienda Bank Nmb nlipofoa mkopo 2M, NIKASEPAAAA nliongea na mkuu anistili akajtahd lakn mratibu Elimu kata akatibua ndani ya miez miwili et nirud kazn nilitoa Maamuz magum mpaka sasa naingia mwaka wa 3 kiugumu ugum ukiremba Mkopo hujikupata mpaka utakavofika mbingun.
Nenda bank kakopee one third yako yote kasome hata wakibana ruhusa utaludi tu badae muda ndo huu humu maofisini watu tunabaniana sana
Toroka.
shukran kwa ushauri mzuri mkuuKama una miaka miwili kazini ruhusa ya kwenda masomoni ni haki yako.
Cha kufanya andika barua ya kuomba ruhusa kwa kipindi hicho cha masomo(3 years). Katika barua ambatanisha barua ya kuthibitishwa kazini na admission letter ya chuo ulichochaguliwa. Barua yako ipitie kwa mkuu wa shule, afsa elimu then mkurugenzi.
NB: Kumbuka kuwaambia utajisomesha mwenyewe ili wasikuletee story za kuwekwa kwenye mpango wa h/shauri
Hvi ualimu nayo ni kazi ya kutetemekea?
Hvi ualimu nayo ni kazi ya kutetemekea?