Msaada: Nimepata nafasi ya kusoma, ila ruhusa ni tatizo

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
979
Reaction score
277
Asalaam wakuu,,
niko tabora vijijini ni mwalimu nina mizka miwili kazini.
Nimepata nafasi ya kusoma digrii ya ualimu,nmepata pia mkopo,ila kigezo kikubwa cha kupata ruhusa toka kwa mwajiri ni lazima uwe umetimiza angalau miaka mitatu!..,,nawaza nitaombaje ruhusa?,je nikinyimwa?,
ushauri wakuu
 
huyo ana bana tu mi nna miaka 2 lakin nmeruhusiwa kiulaini na niwatu kibao huku wanaruhusiwa.
 
Asalaam wakuu,,
niko tabora vijijini ni mwalimu nina mizka miwili kazini.
Nimepata nafasi ya kusoma digrii ya ualimu,nmepata pia mkopo,ila kigezo kikubwa cha kupata ruhusa toka kwa mwajiri ni lazima uwe umetimiza angalau miaka mitatu!..,,nawaza nitaombaje ruhusa?,je nikinyimwa?,
ushauri wakuu

Kama hujamshirikisha mwajiri wako mwanzoni,kwann unataka umshirikishe mwisho.
 
M mwenyewe ilinitokea mwaka 2012 kama wewe,nilihangaika ruhusa nilikosa mm kwangu Rushwa ni mwiko,nilienda Bank Nmb nlipofoa mkopo 2M, NIKASEPAAAA nliongea na mkuu anistili akajtahd lakn mratibu Elimu kata akatibua ndani ya miez miwili et nirud kazn nilitoa Maamuz magum mpaka sasa naingia mwaka wa 3 kiugumu ugum ukiremba Mkopo hujikupata mpaka utakavofika mbingun.
 
Asalaam wakuu,,
niko tabora vijijini ni mwalimu nina mizka miwili kazini.
Nimepata nafasi ya kusoma digrii ya ualimu,nmepata pia mkopo,ila kigezo kikubwa cha kupata ruhusa toka kwa mwajiri ni lazima uwe umetimiza angalau miaka mitatu!..,,nawaza nitaombaje ruhusa?,je nikinyimwa?,
ushauri wakuu

Nenda bank kakopee one third yako yote kasome hata wakibana ruhusa utaludi tu badae muda ndo huu humu maofisini watu tunabaniana sana
 
M mwenyewe ilinitokea mwaka 2012 kama wewe,nilihangaika ruhusa nilikosa mm kwangu Rushwa ni mwiko,nilienda Bank Nmb nlipofoa mkopo 2M, NIKASEPAAAA nliongea na mkuu anistili akajtahd lakn mratibu Elimu kata akatibua ndani ya miez miwili et nirud kazn nilitoa Maamuz magum mpaka sasa naingia mwaka wa 3 kiugumu ugum ukiremba Mkopo hujikupata mpaka utakavofika mbingun.
kukopa ili iweje?,,nimepata mkopo wa bodi asilimia nyingi tuu,,,nifanyeje?,,,
 
Fanya maamuzi magumu, nenda kapige shule mkuu...kwa watoto wa masikini kama sisi elimu ndio mkombozi
 
Kama una miaka miwili kazini ruhusa ya kwenda masomoni ni haki yako.
Cha kufanya andika barua ya kuomba ruhusa kwa kipindi hicho cha masomo(3 years). Katika barua ambatanisha barua ya kuthibitishwa kazini na admission letter ya chuo ulichochaguliwa. Barua yako ipitie kwa mkuu wa shule, afsa elimu then mkurugenzi.

NB: Kumbuka kuwaambia utajisomesha mwenyewe ili wasikuletee story za kuwekwa kwenye mpango wa h/shauri
 
Hvi ualimu nayo ni kazi ya kutetemekea?
 
shukran kwa ushauri mzuri mkuu
 
Back
Top Bottom