Msaada: Nimepata nafasi ya kusoma, ila ruhusa ni tatizo

Pengine hata kazi hauna. Kazi impatiayo mtu mahitaji yake ya mhimu iheshimu.

nina maana kuwa,shule zimejaa kila kona ya nchi,wakikutosa we c unaenda private tu!
 
ww andika barua ya kwenda kusoma uambatanishe na vitu vyote vinavyohitajka.ila ruhusa ikibuma nenda chuo ulchopangwa ulipe direct costs na baada ya hapo uandike barua ya ku postpone.kwa hiyo mkopo wako utakuwa salama.ni hayo 2 mwlm,
 
cha msingi omba ruhusa,na wambie unajisomesha mwenye..kama watabana we nenda chuo
 
inategemea na bos wako kuna mwalimu aliomba ruhs wakamnyima akaamua kuondk baad ya miez 3 mshahar ukasimam.amemalza chuo
amekuta ajira hakn sahiv yup kijiwen
 
kukopa ili iweje?,,nimepata mkopo wa bodi asilimia nyingi tuu,,,nifanyeje?,,,
Unakopa ili ufanyie kitu chochote cha kikuongezea kupata maana wanaweza kuzuia mshahara ukienda masomoni na boom haliwezi kukidhi mahitaji yako yote hata kama unasilimia mia ya mkopo.
 
Nashukuru kwa ushauri,,
Wazo nililoamua ni kuanza process ya mkopo huku nikifuatilia ruhusa,je itachukua mda gan kupata mkopo?,,usajili wa chuo changu unaanza kesho jaman
 
ww andika barua ya kwenda kusoma uambatanishe na vitu vyote vinavyohitajka.ila ruhusa ikibuma nenda chuo ulchopangwa ulipe direct costs na baada ya hapo uandike barua ya ku postpone.kwa hiyo mkopo wako utakuwa salama.ni hayo 2 mwlm,

kugairi mwaka next year mkopo haumuhusu kama anajiamini aende nmb achukue maximum loan hiyo hela aitunze kama mboni ya jicho akimaliza chuo imsaidie wakati anatafuta job hyo nafas ni dhahabu ila uwe makin ukionaje potezea kuacha kaz mtihan
 
Hivi nikichukua mkopo nmb nitarudishaje au watanikataje km ajira(dhamana) yangu itafutwa?,,
 
Nashukuru kwa ushauri,,
Wazo nililoamua ni kuanza process ya mkopo huku nikifuatilia ruhusa,je itachukua mda gan kupata mkopo?,,usajili wa chuo changu unaanza kesho jaman

Sioni sababu ya kujiingiza kwenye mikopo ilihali huna cha kuifanyia hiyo mikopo. Ruhusa ni haki yako ya msingi kwa nini uogope kuidai? Kumbuka unaenda kusoma ualimu na ukimaliza utarudi kituoni kwako hakuna ajira mpya. Shughulikia ruhusa tu utapata tena kiulaini.
 
Mkuu nashkuru,,kudai nitaenda ila kumbuka kuna mawili pamoja na uzandiki wa ofisin hapa tz.
Natafuta plan B sababu naona vikwazo mbele yangu kwa hii nafasi
 
Mkuu nashkuru,,kudai nitaenda ila kumbuka kuna mawili pamoja na uzandiki wa ofisin hapa tz.
Natafuta plan B sababu naona vikwazo mbele yangu kwa hii nafasi

Usiogope kudai haki yako hata kama unaye mdai yuko juu yako kimamlaka. Miaka 2 kazini inajipatia ruhusa bila shida na wala siyo miaka 3.
 
Hivi nikichukua mkopo nmb nitarudishaje au watanikataje km ajira(dhamana) yangu itafutwa?,,
Mwajiri wako ndo atalipa si ndo mdhamin wako hainaga shida,chagua moja kwenda chuo au ubak kazin,ACHA UOGA WATU WANATOA MAAMUZ MAGUM BILA HATA MKOPO WANATEGEMEA KAMKOPO KA NMB TU
 
Hivi nikichukua mkopo nmb nitarudishaje au watanikataje km ajira(dhamana) yangu itafutwa?,,

Mkuu Wewe si umesema mkopo Wa chuo umepata? Sasa huo Wa NMB Wa nini tena? Maana kama kazi watakufuta utaendelea kupata huo Wa HESLB!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…