kitwala
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,476
- 1,066
shukran kwa ushauri mzuri mkuu
Poa mkuu komaa tu utafanikiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shukran kwa ushauri mzuri mkuu
Hvi ualimu nayo ni kazi ya kutetemekea?
Pengine hata kazi hauna. Kazi impatiayo mtu mahitaji yake ya mhimu iheshimu.
Hvi ualimu nayo ni kazi ya kutetemekea?
nina maana kuwa,shule zimejaa kila kona ya nchi,wakikutosa we c unaenda private tu!
inategemea na bos wako kuna mwalimu aliomba ruhs wakamnyima akaamua kuondk baad ya miez 3 mshahar ukasimam.amemalza chuoM mwenyewe ilinitokea mwaka 2012 kama wewe,nilihangaika ruhusa nilikosa mm kwangu Rushwa ni mwiko,nilienda Bank Nmb nlipofoa mkopo 2M, NIKASEPAAAA nliongea na mkuu anistili akajtahd lakn mratibu Elimu kata akatibua ndani ya miez miwili et nirud kazn nilitoa Maamuz magum mpaka sasa naingia mwaka wa 3 kiugumu ugum ukiremba Mkopo hujikupata mpaka utakavofika mbingun.
Unakopa ili ufanyie kitu chochote cha kikuongezea kupata maana wanaweza kuzuia mshahara ukienda masomoni na boom haliwezi kukidhi mahitaji yako yote hata kama unasilimia mia ya mkopo.kukopa ili iweje?,,nimepata mkopo wa bodi asilimia nyingi tuu,,,nifanyeje?,,,
ww andika barua ya kwenda kusoma uambatanishe na vitu vyote vinavyohitajka.ila ruhusa ikibuma nenda chuo ulchopangwa ulipe direct costs na baada ya hapo uandike barua ya ku postpone.kwa hiyo mkopo wako utakuwa salama.ni hayo 2 mwlm,
Hvi ualimu nayo ni kazi ya kutetemekea?
Nashukuru kwa ushauri,,
Wazo nililoamua ni kuanza process ya mkopo huku nikifuatilia ruhusa,je itachukua mda gan kupata mkopo?,,usajili wa chuo changu unaanza kesho jaman
Mkuu nashkuru,,kudai nitaenda ila kumbuka kuna mawili pamoja na uzandiki wa ofisin hapa tz.Sioni sababu ya kujiingiza kwenye mikopo ilihali huna cha kuifanyia hiyo mikopo. Ruhusa ni haki yako ya msingi kwa nini uogope kuidai? Kumbuka unaenda kusoma ualimu na ukimaliza utarudi kituoni kwako hakuna ajira mpya. Shughulikia ruhusa tu utapata tena kiulaini.
Mkuu nashkuru,,kudai nitaenda ila kumbuka kuna mawili pamoja na uzandiki wa ofisin hapa tz.
Natafuta plan B sababu naona vikwazo mbele yangu kwa hii nafasi
Mwajiri wako ndo atalipa si ndo mdhamin wako hainaga shida,chagua moja kwenda chuo au ubak kazin,ACHA UOGA WATU WANATOA MAAMUZ MAGUM BILA HATA MKOPO WANATEGEMEA KAMKOPO KA NMB TUHivi nikichukua mkopo nmb nitarudishaje au watanikataje km ajira(dhamana) yangu itafutwa?,,
Hivi nikichukua mkopo nmb nitarudishaje au watanikataje km ajira(dhamana) yangu itafutwa?,,
No easy way the hard way is the only way.komaa mwananguMkuu nashkuru,,kudai nitaenda ila kumbuka kuna mawili pamoja na uzandiki wa ofisin hapa tz.
Natafuta plan B sababu naona vikwazo mbele yangu kwa hii nafasi