Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 979
- 277
- Thread starter
- #41
Usiogope kudai haki yako hata kama unaye mdai yuko juu yako kimamlaka. Miaka 2 kazini inajipatia ruhusa bila shida na wala siyo miaka 3.
nashkuru mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiogope kudai haki yako hata kama unaye mdai yuko juu yako kimamlaka. Miaka 2 kazini inajipatia ruhusa bila shida na wala siyo miaka 3.
Mkuu Wewe si umesema mkopo Wa chuo umepata? Sasa huo Wa NMB Wa nini tena? Maana kama kazi watakufuta utaendelea kupata huo Wa HESLB!
Mi wameniambia sipo kwenye mpango wao wa kwenda licha ya kutaka kujisomesha mwenye sasa nipo dilema
kukopa ili iweje?,,nimepata mkopo wa bodi asilimia nyingi tuu,,,nifanyeje?,,,
nashkuru,,je kuna umuhimu wa kukopa wakati nimepata bum?,,Ukitoroka mshahara unasimamishwa... kakope upate hela ya kusurvive ukimaliza unaajiriwa kwa upya
nikiahirisha,,je mwakan nitapata?,,,sasa ivi nmepata bum 100% mkuu,,,huu ni mtihani kwangundugu karipoti chuo na ujisajili..process mkopo
.then omba kuahirisha mwaka wa masomo...then rudi kazini andika barua ukiindicate kabisa kuwa mwakani unataka kwenda kusoma
nikiahirisha,,je mwakan nitapata?,,,sasa ivi nmepata bum 100% mkuu,,,huu ni mtihani kwangu
nashkuru,,je kuna umuhimu wa kukopa wakati nimepata bum?,,