Msaada: Nimepata nafasi ya kusoma, ila ruhusa ni tatizo

Msaada: Nimepata nafasi ya kusoma, ila ruhusa ni tatizo

unajua wakati mwingine tunapenda kulalamika kuhusiana na mifumo pamoja na kutofuata sheria lakini tumewahi kujiuliza je na sisi tulioko katika mifumo hiyo tunafuata sheria na taratibu zilizokuwepo maana tuko vizuri kulaumu viongozi wa juu je na sisi tunausafi wa kutosha mtu unajua sheria na taratibu zako za kazi zikoje lakini unafanya mambo kwa kulazimisha ukikataliwa unalalamika na pia wakati mwingine na rushwa unatoa please tubadilike maana sisi pia ni chanzo cha ufisadi na rushwa kwa kupenda shortcut!!!!
 
Back
Top Bottom