Msaada: Nimepotelewa na Vyeti vyangu halisi vya taaluma

Najihisi vibaya sana na assume kama mm mungu atakusaidia
Hasa cha Necta maana mchakato wa kupata cheti mbadala yaani ni mziki kweli vya chuo havina noma necta ndio balaa yaani
 
Pole sana mkuu kuna jamaa anaitwa Akili sina nae alichezea kichapo huko Moshi akaibiwa bag lenye vyeti vyote Ila sahivi anakula maisha mambo iko poa
Natumaini utafanikiwa kuvipata ila jaribu pia na njia mbadala jinsi ya kupata vingine
 
Mchakato wake unaufaham mkuu ayayaa ni shidaaa..
Inafikia mahala hawatoi wanakuambia kaombe kazi sie tutatuma ushahidi wa vyeti kwa email.
Bora hata hivo vya chuo lakin vya o level pana mtihani si kitoto.
Usimtishe, wanatoa kwa gharama ya 100k.
 
Duh mwamba elimu umeungaunga mpaka umeachieve higher level of education kongole. Vyeti ni makaratasi tu kupoteza vyeti sio kupoteza taaluma yako
 
Pole sana mkuu kuna jamaa anaitwa Akili sina nae alichezea kichapo huko Moshi akaibiwa bag lenye vyeti vyote Ila sahivi anakula maisha mambo iko poa
Natumaini utafanikiwa kuvipata ila jaribu pia na njia mbadala jinsi ya kupata vingine
Ahsante mkuu
 
Jamaa alivipata au alitumia njia mbadala kuanza kuvipata kimoja kimoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…