Msaada: Nimepotelewa na Vyeti vyangu halisi vya taaluma

Msaada: Nimepotelewa na Vyeti vyangu halisi vya taaluma

Pole sana mkuu kuna jamaa anaitwa Akili sina nae alichezea kichapo huko Moshi akaibiwa bag lenye vyeti vyote Ila sahivi anakula maisha mambo iko poa
Natumaini utafanikiwa kuvipata ila jaribu pia na njia mbadala jinsi ya kupata vingine
 
Mchakato wake unaufaham mkuu ayayaa ni shidaaa..
Inafikia mahala hawatoi wanakuambia kaombe kazi sie tutatuma ushahidi wa vyeti kwa email.
Bora hata hivo vya chuo lakin vya o level pana mtihani si kitoto.
Usimtishe, wanatoa kwa gharama ya 100k.
 
Habari wana JamiiForums naitwa Gilbert Zenas Rauya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye bus la Kimotco mnamo tarehe 29-11-2021 lilikua linatoka Moshi kwenda Mbeya bag langu liliibiwa halikuonekana kabisa na lilikua na vitu vinginevyo kama External harddisk GB500 flushdisk 2 na nguo chache pamoja na ivyo vyeti ni kama ifuatavyo.

cheti cha Form 4,Cheti cha certificate in IT na Transcript yake,Cheti cha Diploma in Computing in IT na Transcript yake vyote vya University of DSM Computing Center na cheti cha Degree Bachelor of Science in Infomartion Communication Technology na Transcript yake chuo ni University of Bagamoyo na Cheti cha kuzaliwa na vyeti vingine vya computer short courses mbali mbali na short course ya Enterpreneurship Management kwa yeyote atakayevipata hivyo vyeti naomba anicheki kupitia mawasiliano hayo hapo

0713990926 or 0784896322 na email yangu ni gillizain@yahoo.com

Niliwahi kupost humu mwezi wa kumi na moja mwaka jana vp wadau hakuna aliepata dondoo au habari za kupatikana kwa vyeti vyenye majina hayo pamoja na vitu ivyo vingine tafadhali kama yupo aliepata au kusikia vimeonekana mahali anifahamishe inbox kuna zawadi nono itatolewa kama akifanikisha kupatikana kwake maana humu wengi ni wasomi na great thinkers tunajua umuhimu wa vyeti vikipotea ni changamoto sana kuvipata na inachukua mda na gharama pia
Ahsante.
Duh mwamba elimu umeungaunga mpaka umeachieve higher level of education kongole. Vyeti ni makaratasi tu kupoteza vyeti sio kupoteza taaluma yako
 
Pole sana mkuu kuna jamaa anaitwa Akili sina nae alichezea kichapo huko Moshi akaibiwa bag lenye vyeti vyote Ila sahivi anakula maisha mambo iko poa
Natumaini utafanikiwa kuvipata ila jaribu pia na njia mbadala jinsi ya kupata vingine
Ahsante mkuu
 
Jamaa alivipata au alitumia njia mbadala kuanza kuvipata kimoja kimoja
 
Back
Top Bottom