Msaada: Nimepotelewa na Vyeti vyangu halisi vya taaluma

Msaada: Nimepotelewa na Vyeti vyangu halisi vya taaluma

gzenas

Member
Joined
Nov 30, 2021
Posts
27
Reaction score
10
Habari wana JamiiForums naitwa Gilbert Zenas Rauya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye bus la Kimotco mnamo tarehe 29-11-2021 lilikua linatoka Moshi kwenda Mbeya bag langu liliibiwa halikuonekana kabisa na lilikua na vitu vinginevyo kama External harddisk GB500 flushdisk 2 na nguo chache pamoja na ivyo vyeti ni kama ifuatavyo.

cheti cha Form 4,Cheti cha certificate in IT na Transcript yake,Cheti cha Diploma in Computing in IT na Transcript yake vyote vya University of DSM Computing Center na cheti cha Degree Bachelor of Science in Infomartion Communication Technology na Transcript yake chuo ni University of Bagamoyo na Cheti cha kuzaliwa na vyeti vingine vya computer short courses mbali mbali na short course ya Enterpreneurship Management kwa yeyote atakayevipata hivyo vyeti naomba anicheki kupitia mawasiliano hayo hapo

0713990926 or 0784896322 na email yangu ni gillizain@yahoo.com

Niliwahi kupost humu mwezi wa kumi na moja mwaka jana vp wadau hakuna aliepata dondoo au habari za kupatikana kwa vyeti vyenye majina hayo pamoja na vitu ivyo vingine tafadhali kama yupo aliepata au kusikia vimeonekana mahali anifahamishe inbox kuna zawadi nono itatolewa kama akifanikisha kupatikana kwake maana humu wengi ni wasomi na great thinkers tunajua umuhimu wa vyeti vikipotea ni changamoto sana kuvipata na inachukua mda na gharama pia
Ahsante.
 
fanya utaratibu upatiwe vingine
nenda necta, nacte na tcu
 
KIMOTCO wanaongoza kwa kupoteza mizgo ukituma mzgo Moshi/Arusha asilimia za kupotea ni 80% hivyo hivyo kwa Moshi/Arusha kwenda Mbeya.
 
fanya utaratibu upatiwe vingine
nenda necta, nacte na tcu
Mchakato wake unaufaham mkuu ayayaa ni shidaaa..
Inafikia mahala hawatoi wanakuambia kaombe kazi sie tutatuma ushahidi wa vyeti kwa email.
Bora hata hivo vya chuo lakin vya o level pana mtihani si kitoto.
 
Pole Mkuu ebu tujaribu ku-share pia waombe Viongozi wa Jamii Forum wapost katika page zao za Facebook na Twitter +Instagram ✍️
 
Mchakato wake unaufaham mkuu ayayaa ni shidaaa..
Inafikia mahala hawatoi wanakuambia kaombe kazi sie tutatuma ushahidi wa vyeti kwa email.
Bora hata hivo vya chuo lakin vya o level pana mtihani si kitoto.
Vya chuo unapata vizuri labda vya Necta ndo hupati Kabisa.
 
Mchakato wake unaufaham mkuu ayayaa ni shidaaa..
Inafikia mahala hawatoi wanakuambia kaombe kazi sie tutatuma ushahidi wa vyeti kwa email.
Bora hata hivo vya chuo lakin vya o level pana mtihani si kitoto.
Ni kweli unajaza fomu online ya cheti mbadala au statement of results ila unalipia laki 1 wanakutumia control number then unasubmit online unasubiria 3 months ila kuna viambatanisho unatakiwa kuattach wakati wa kujaza fomu kama nida picha ya passport size with blue background na loss report pia
 
Ukipoteza ndo mazima duh yaani mtihani sana
sema necta wameanzisha utaratibu wa vyeti mbadala yaani duplicate certificate au statement of results kwa wale waliomaliza form 4 nyuma ya 2008 ambao vyeti havikua na picha ila unalipia 100,000/= ndio msaada kwa waliopoteza cheti au kuungua na moto etc.
 
Mchakato wake unaufaham mkuu ayayaa ni shidaaa..
Inafikia mahala hawatoi wanakuambia kaombe kazi sie tutatuma ushahidi wa vyeti kwa email.
Bora hata hivo vya chuo lakin vya o level pana mtihani si kitoto.
Ni kweli mkuu ni mtihani yaani mchakato wake si kitoto aisee
 
Tuma na kwenye magroup ya WhatsApp huko mkuu.
 
Back
Top Bottom