Msaada: Nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara, nifanyeje?

Msaada: Nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara, nifanyeje?

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
Wakuu nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara! Nishauri kama unajua kitu

Wakuu msaada tafadhari.
 
Nenda masijala tafuta mtu wa masilala lazima awe na kopi
 
Ulienda kwa watu wa masijala ukiwashikisha utaipata
 
Hiyo inatengenezwa na muhuri unachongwa ,ni wewe tu na pesa yako, vitu kama hivo ,tafuta sample ya hiyo barua ,andika kama ilivyo,au inavyotakiwa, gonga muhuri
 
Back
Top Bottom