Msaada: Nimepoteza result slip ya form six

Msaada: Nimepoteza result slip ya form six

Just stories,lakini kiuhalisia kudate na mtoto ni kujivunjia heshima na kumwaribu mtoto wa watu tu
Umeona eenh
Labda unyanduane na mtoto maeneo ya mbali na unapoishi[emoji41]
 
Kipindi bado nipo mdogo sana nilienda kwa uncle wangu (kwa sasa ni marehemu...Mungu amrehemu) kusalimia, alikuwa anaishi maisha ya bachelor. Jioni moja akaja na wanawake 2 ambao kwangu Mimi wote walikuwa ni watu wazima.

Akanikabidhi mmoja na mwingine akabaki naye, usiku si yule mwanamke akanishikisha mkono wangu kwenye jitumbua lake ........ ile kupapasishwa pale nahisi hizi ni nywele! Niliogopa nikainuka kitandani nikafungua mlango nikatoka nduki huku natwtemeka nikijua yule CHUDDA ni jini. Asubuhi uncle alicheka sana. Ukubwani nikaja kujua kuwa kumbe binadamu tukikua kuna hatua tunaota nywele sehemu za Siri[emoji1]. Hii ni nje ya mada.

Kuhusu mada husika, toa report police, wasiliana na chuo unakotarajia kwenda kusoma mapema watakushauri ni nini ufanye
 
Kwa chuo kama udom usiende na loss report yako utajuta autosikilizwa
Result slip sio chet loss report yako nenda nayo necta watakupa muongozo wa kupata nyingine
 
Hii dhana ya connection inauwa morale Sana wa vijana kusoma kwa bidii
 
Back
Top Bottom