Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haitochukua muda sana yani ndani ya wiki unakuwa umepata,Wadau nimepoteza till ya MPESA chip no 2 ya kufanyia miamala natamani kujua utaratibu wa kurenew na muda nitakaotumia mpaka kuipata, vigezo na viambatanisho muhimu vinavyohitajika..
Naomba Kusalisha
Mkuu sio control till ni, ile ya mihamala ndo imepoteaaaaahaitochukua muda sana yani ndani ya wiki unakuwa umepata,
kuhusu documents muhimu ni tin number,leseni na kitambulisho cha utaifa au hata cha kura ingawa wanapendelea zaid cha uraia na ni muhimu vyote majina yake yasome kama hyo management till iliyopotea...
ah ok,taratibu zake za ku_renew ni kama hizo za management till.Mkuu sio control till ni, ile ya mihamala ndo imepoteaaaaa