Msaada: Nimepoteza till ya M-Pesa, nifanyeje kupata nyingine?

PRINCEd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
860
Reaction score
620
Wadau nimepoteza till ya MPESA chip no 2 ya kufanyia miamala natamani kujua utaratibu wa kurenew na muda nitakaotumia mpaka kuipata, vigezo na viambatanisho muhimu vinavyohitajika..

Naomba Kusalisha
 
Wasiliana na mtoa huduma wako atakupa utaratibu nini chakufanya mkuu
 
Wadau nimepoteza till ya MPESA chip no 2 ya kufanyia miamala natamani kujua utaratibu wa kurenew na muda nitakaotumia mpaka kuipata, vigezo na viambatanisho muhimu vinavyohitajika..

Naomba Kusalisha
haitochukua muda sana yani ndani ya wiki unakuwa umepata,
kuhusu documents muhimu ni tin number,leseni na kitambulisho cha utaifa au hata cha kura ingawa wanapendelea zaid cha uraia na ni muhimu vyote majina yake yasome kama hyo management till iliyopotea...
 
Mkuu sio control till ni, ile ya mihamala ndo imepoteaaaaa
 
Back
Top Bottom