Za leo wapendwa natumai mko poa naomba msaada wenu ni kama wiki hivi nimegundua nimepoteza uwezo wa kunusa iwe mnuko au mnukio sisikii chochote iwe chakula, rotion, au kitu kinacho ungua Sijui shida itakua ni nini na je kuna tiba yake?
Nb: sina mafua.