Msaada: Nimepoteza uwezo wa kunusa.

Msaada: Nimepoteza uwezo wa kunusa.

Ruqaiyah

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
1,118
Reaction score
1,483
Za leo wapendwa natumai mko poa naomba msaada wenu ni kama wiki hivi nimegundua nimepoteza uwezo wa kunusa iwe mnuko au mnukio sisikii chochote iwe chakula, rotion, au kitu kinacho ungua Sijui shida itakua ni nini na je kuna tiba yake?
Nb: sina mafua.
 
Ngoja niwai siti ya mbele kbs maana nina tatizo ilo karibu mwaka pili huu sema nachukulia poa wajuzi waje kutusaidia
 
Sasa so uwende hospital, ukipata maelezo ndo uje huku usaidiwe dawa na maelezo mdala uliyopewa hospital.
Kama unataka dawa kunywa panado
 
Ndugu nendo hospitali ...kuna uvimbe huwa unaweza kuwa kwenye ubongo wa mbele unaokandamiza nerves na usiweze kunusa itakuja tena huwezi kuona so wahi hospitali huwa wanafanya operation za kichwa unatolewa...na kuomba sana uwahi hospital
 
Back
Top Bottom